Kitui.
Wanafunzi wa chuo cha kibinafsi cha jubilee college wakita kambi inje ya ofisi ya elimu ya kitui wakiitaka kuingilia kati baada ya wao kulipa mtihani wa knec,uku wakikosa kufanya licha ya kufanya matayarisho hapo siku ya ijumaa wiki jana.
aidha wanamtaka balozi amina Mohammed na ambaye ni waziri wa elimu kuingilia kati Ili kuwaokoa na usimamizi mbaya, wengine wao waliapa kuendelea na mgomo hadi pale malalamishi yao itayo shungulikiwa na waku wa elimu katika county ya kitui.
Mwisho.