Joto ya Mama Lydia Mutambu yatanda Mwingi ya Kati

  0
  120

  By TCD REPORTER.

  Joto ya mama Lydia Mutambu yatanda Mwingi ya Kati huku Mjube wa eneo hilo Gideon Mulyungi akionekana kulemewa na hali kisiasa.

  Lydia Mutambu ameonekana kupata ugwaji Mkono na watu wengi muno uko mwingi ya kati.

  Haijulikana ni kwanini watu wa mwingi ya kati hawataki mbunge huyo, duru za kuaminika sinashilia kwamba kiongozi huyo amekuwa akiwandaa na kuwa tia hofu wakazi wa eneo ilo iwapo hawatabui uongozi wake.

  CLICK TO READ MORE :  Ngilu Urges State To Prop Up Local Production

  Mama lydia ameoneka akiendelea kung’aa miezi chache baada ya uchanguzi wa augosti tisa.

  Comments