Nyeri Prison Lorry Burst Into Flames As Sleuths Seek Answers

0
90

Mali ya dhamana hisiojuliakna imeteketea wakati lori hili la jela ya Nyeri liliposhika moto na kuteketea kabisa katika eneo la Man eaters Tsavo kwenye barabara kuu ya mombasa kwenda Nairobi.

Lori ilikuwa likiwasafirisha maafisa wa magereza waliokuwa wamehamishwa kutoka jela ya wanawake ya Wundanyi hadi Nyeri.

Kamanda wa polisi Makueni Joseph Ole Napeiyan anasema hakuna chochote kilichookolewa kutoka kwenye lori hilo na mali yote ya maafisa hao iliteketea.Chanzo cha moto huo kingali kitendawili na uchunguzi unaendelea mara Moja

Comments